Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Jina Robatinyo litamkwe kwa sauti ya Ahmed Ally.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oksawa
Wametukisea nini?Yanga wote ni wapumbavu sana
Hii barua ni moja ya uthibitisho kuwa simba ina mashabiki mambumbumbuJina Robatinyo litamkwe kwa sauti ya Ahmed Ally.
View attachment 2489050
Wapo bize na Feisal Salum Fei TotoKuna mambo ya Maana sana ya kuyajadili.
1. Uuzwaji wa Mabasi na magari kiholela, kwanini wasiwape MASHABIKI Ile Gali kulitumia kusafiria mikoani wakawa wanajichanga Hela zinaenda kwenye Club
2. Magori ya kizembe sana Anayofungwa Manura.
3. Injury za wachezaji Muhimu.
Maendeleo ya Inonga na Phili.
4. Wachezaji Mizigo kama kanute kupunguza mirafu yake
Kukosekana kwa wachezaji zaidi ya Saba.
5 kuelekea uchaguzi mkuu Simba nk
Mapato ya Club kwa Mwaka...
JE yabafanya nini nk nk
6. Usajili mbovu wa Dirisha dogo kuwakosa wachezaji wazuri.
SEMA WENGI AKILI ZETU NI MUFILISI.
Hawana adabuWametukisea nini?