Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 643
- 619
Kondoa ujinga huu watanzania komaeni kuwaondoa CCM. Nchi imeshakuwa kama kisiwa cha wahuni na watu hawajali. Nchi nyingine kuna sekta zinazohusika na kusikiliza malalamiko ya wateja na kuamua kwa haki. Hawa unaweza kuwapeleka mahakamani lakini kupata haki inaweza kuwa hati hati na ikachukuwa muda mrefu bila kusahau gharama. Anyways jaribu hivyo hivyo kwenda kudai haki yako....Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la kushangaza na kusikitisha hadi sasa tarehe 15 Dec bahasha haijafika na haijulikani ilipo, nimejitahidi kufuatilia bila majibu, jambo la kusikitisha ni wahudumu wenu hapo Dodoma hawana kauli nzuri, hawapokei simu, ukibahatika kupiga wanakublock.
Je huo ndio utendaji wenu wa kazi?
Dodoma wanasema niitafute mwenyewe je, mnataka nifanye ukaguzi kwenye mabus yenu?
Nilikuwa mteja wenu mzuri sana, kwa kusafirisha mizigo na kama abiria lakini kwa hili na kauli za watendaji wenu yatosha. No za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu
Huduma zao za usafiri hazipo vizuri, ukitaka kuchukia safari panda hili gari.Huwa kuna makosa ya kibinadamu yanatokea kwenye hizi shughuli, changamoto kubwa huwa ni hawa wafanyakazi wengi wanaowekwa kwenye hizi ofisi hawana skills za kutatua hizo changamoto ndogo ndogo au kubwa, utawaona wabaya Shabiby ila shida ni wahudumu na uwezo wao wa kutatua shida umeishia hapo.
Wafungulie kesi mkuu.Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la kushangaza na kusikitisha hadi sasa tarehe 15 Dec bahasha haijafika na haijulikani ilipo, nimejitahidi kufuatilia bila majibu, jambo la kusikitisha ni wahudumu wenu hapo Dodoma hawana kauli nzuri, hawapokei simu, ukibahatika kupiga wanakublock.
Je huo ndio utendaji wenu wa kazi?
Dodoma wanasema niitafute mwenyewe je, mnataka nifanye ukaguzi kwenye mabus yenu?
Nilikuwa mteja wenu mzuri sana, kwa kusafirisha mizigo na kama abiria lakini kwa hili na kauli za watendaji wenu yatosha.
No za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu
Next time tumia EMS mkuu hasa kwa nyaraka ambazo ni sensitive. Watu wa mabasi usiwaamini sana.Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la kushangaza na kusikitisha hadi sasa tarehe 15 Dec bahasha haijafika na haijulikani ilipo, nimejitahidi kufuatilia bila majibu, jambo la kusikitisha ni wahudumu wenu hapo Dodoma hawana kauli nzuri, hawapokei simu, ukibahatika kupiga wanakublock.
Je huo ndio utendaji wenu wa kazi?
Dodoma wanasema niitafute mwenyewe je, mnataka nifanye ukaguzi kwenye mabus yenu?
Nilikuwa mteja wenu mzuri sana, kwa kusafirisha mizigo na kama abiria lakini kwa hili na kauli za watendaji wenu yatosha.
No za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu
Gari gani nzuri zaidi kwa Dar Dodoma siku hizi mkuu?Huduma zao za usafiri hazipo vizuri, ukitaka kuchukia safari panda hili gari.
Watumishi wa kwenye makampuni ya maBus wengi viburi na Wana nyodo sana......na hii ndio kawaida ya watanzania wengi wakiwa kwenye nafasi za kaziHuwa kuna makosa ya kibinadamu yanatokea kwenye hizi shughuli, changamoto kubwa huwa ni hawa wafanyakazi wengi wanaowekwa kwenye hizi ofisi hawana skills za kutatua hizo changamoto ndogo ndogo au kubwa, utawaona wabaya Shabiby ila shida ni wahudumu na uwezo wao wa kutatua shida umeishia hapo.
No za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu
Hawa ABC wamelinda jina lao hawana mpinzani, ila watakupitisha kwenye hotel zao za ghali. Bora kupanda Esther ila sio shabiby😀Gari gani nzuri zaidi kwa Dar Dodoma siku hizi mkuu?
Mara ya mwisho nilienda na BM nikarudi na Shabiby
Esther hata kwa mawe siitaki, kama mara 3 hivi Esther kwenda Rombo reporting time saa 9 alfajiri bus inaondoka saa 1:15 asubuhi, chaaaHawa ABC wamelinda jina lao hawana mpinzani, ila watakupitisha kwenye hotel zao za ghali. Bora kupanda Esther ila sio shabiby😀
Ndio hicho tuu ulichoona, ila lengo umelielewa?Wallah sikutaka kwenda nje ya mada wala sio kwamba uzi mzima nimeona neno UDHEMBE lakini nimecheka nisiwe muongo
Pole, nadhani wahusika watasoma na kufanyia kazi