Mahakama hizi hizi ambazo wanatoa Maamuzi ya kesi Kwa kupewa maelekezo na siyo Kwa misingi ya Kisheria?Bila sisi Watanzania kubadilika na kuchukua hatua hakuna ambacho tutafanya zaidi ya maumivu moyoni!
Kama unayo risiti na mzigo wako umepotea,Tafuta Mwanasheria waburuze mahakamani,hiyo risiti ndiyo ushahidi wenyewe!
Kama hiyo Barua ilikuwa muhimu maana yake wamekukwamisha na kukupotezea muda,Hapo itabidi wakulipe fidia ya kukupotezea muda!,Wapeleke mahakamani hao Wapumbavu Ili angalau wanaweza kuacha uzembe,Haya mambo ya Kuwa kila Jambo tunalalamika sidhani kama yatatusaidia!
Sasa mahakamani ni kupeleka kesi ya ngedere kwa nyani, hakuna haki.Bila sisi Watanzania kubadilika na kuchukua hatua hakuna ambacho tutafanya zaidi ya maumivu moyoni!
Kama unayo risiti na mzigo wako umepotea,Tafuta Mwanasheria waburuze mahakamani,hiyo risiti ndiyo ushahidi wenyewe!
Kama hiyo Barua ilikuwa muhimu maana yake wamekukwamisha na kukupotezea muda,Hapo itabidi wakulipe fidia ya kukupotezea muda!,Wapeleke mahakamani hao Wapumbavu Ili angalau wanaweza kuacha uzembe,Haya mambo ya Kuwa kila Jambo tunalalamika sidhani kama yatatusaidia!
Na hao Shabiby washakuwa kama ccm?Dodoma wanasema niitafute mwenyewe je, mnataka nifanye ukaguzi kwenye mabus yenu?
Hizo niishara za management dhaifu, wafanyakazi hujibu wateja wanavyojisikia wao, baadaye kampuni hupoteza wateja na kufa.Wabongo hawajui kabisa customer service.
Ndio tabia yaoEsther hata kwa mawe siitaki, kama mara 3 hivi Esther kwenda Rombo reporting time saa 9 alfajiri bus inaondoka saa 1:15 asubuhi, chaaa
Ndio walivyo hao kwa ruti zao nyingi. Ubabaishaji kwenye suala la kuzingatia muda pamoja na lugha tata za makondakta. Inahuzunisha sana.Esther hata kwa mawe siitaki, kama mara 3 hivi Esther kwenda Rombo reporting time saa 9 alfajiri bus inaondoka saa 1:15 asubuhi, chaaa
Shabìby ndiye mmiliki, hawezi kujitenga na lawama.utawaona wabaya Shabiby ila shida ni wahudumu na uwezo wao wa kutatua shida umeishia hapo.
Hizo niishara za management dhaifu, wafanyakazi hujibu wateja wanavyojisikia wao, baadaye kampuni hupoteza wateja na kufa.
Popote ambapo ni sehemu ya huduma ukiona kuna ujinga ujinga wa namna hiyo, basi uongozi ni dhaifu.
Hili nimeshindwa kulivumilia roho inaniwaka moto .Huduma katika haya ma bus ya mikoani, kampuni nyingi bado hazijaweza kutoa kiwango kinachostahili, na kinachowafelisha wanachukua watu ambao hawana weledi kutokana na malipo madogo, matokeo yake ndo hayo. Nlishawai safirisha Taa kutoka Dsm to Mbeya na kampuni moja ya bus, kufika mbeya taa 9 zimevunjika kumbe kwenye kupakia mizigo waliweka mizigo mingine juu yake , na nliwaambia pale ofsini kwao wakati nalipia ule mzigo kuwa zile ni taa na kwenye box kwa nje nikaandika KIOO kama taadhari ili katika kupanga mizigo wapange kwa uangalifu lakini bado wakafanya huo uzembe. Nlirudi ofisini kudai fidia majibu yao ndo yalinichosha. Walisema mzigo wenye vitu vya kuvunjika wanasafirisha kwa dhamana ya mteja hivyo hawahusiki na uharibifu wowote
Note: Taa moja ilikua inagharimu 70k × 9 = 630k ikawa imepotea kirahisi hivo
Sasa hivi ukijifanya unawasemasema tu wanakuwesha risasi.. nenda nao kwa upoleNo za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu