Barua ya wazi kwa Sheikh Mwaipopo

Wewe hata ukishindwa kutenganisha, wakiristo wenzio wengi tu wanatenganisha
Na kweli, sasahivi Wakiristo wengu wameufahamu ukweli na kwa mfano kuhusu tuhuma za Sheikh Walid wakiristo wengi sana wamehuzunika wakiwepo viongozi wa dini
Wallah maneno ya Mtume wa mwenyezi Mungu yanatimia sikuhizi, watasilimu wengi tu InshaAllah
 
Usiwe excited kiasi akili ikataka kukuhama,Wakristo ni wapenda haki siyo wanafiki kama waislam mfano issue ya Dr Fr Kitima kupiga kelele kuhusu haki za raia nchi hii Waislamu wengi wapo against nae kisa raisi dini yao but hao hao wanajua deep down wanaempigania ni failure mkubwa na anawatia njaa vibaya.

So Mkristo kuhuzunika ishu ya huyo Walid si kwamba anauelewa huo usilam ila ni kuona namna anavyopokwa anakopatia ridhki yake ndiyo kinamuuma hata mimi najua ilivyo mbaya tabia ya kunyangʼanyana ridhki so sihuzuniki kwa sababu nauelewa uislam nahuzunika kwa sababu binadamu mwenzangu anaundiwa mizengwe asipate kula
 
Na kweli, sasahivi Wakiristo wengu wameufahamu ukweli na kwa mfano kuhusu tuhuma za Sheikh Walid wakiristo wengi sana wamehuzunika wakiwepo viongozi wa dini
Wallah maneno ya Mtume wa mwenyezi Mungu yanatimia sikuhizi, watasilimu wengi tu InshaAllah
Aisee kweli una akili fupi mno na ndivyo waislamu wengi walivyo
 
Inasemekana hajui kusoma
 
Him a sellout long time me see it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…