Barua ya wazi kwa shesrise_1

win-one kwa jinsi trend inavyoenda ni dhahiri kuwa anayefuata kuandikiwa waraka ni ww πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alaf kuna wale wadada wengine watatu. Na ukisema suuu nawataja.
mimi tena? haiwezi tokea na ikitokea nitamchalaza viboko huyo kijana ili akili imchangamke😎

naomba wataje nishasema SUUU"πŸ‘ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
At this point nahisi kuna id ni parody/ bots za mods wenyewe zinatengeneza contents nonstop ili kufanya JF ipate wachangiaji zaidi.

Hua kuna kioindi nyuzi za kipimbi zinakua nyingi sana kisha kunapoa. Naona zimeanza upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…