Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
P.O.Box .....
Kwa ustaarabu nasema walokole mnatufedhehesha sisi WAKRISTO. Inakuwaje mtu unaanza kuropoka kwenye bus halafu unalazimisha watu wakupe pesa la si hivyo basi halitofika salama?
WALOKOLE ACHENI UTAPELI.... Nimefurusha tapeli mwenzenu mmoja, Ile ameanza tu kujifanya anaomba nikamkataa.... MADEREVA NA MAKONDAKTA WA MABASI MAKUBWA NAO Wanashirikiana na hawa matapeli walokole.
Tuache ujinga. Ipo siku nitapiga mtu makofi. Leo yule mama nimemuacha ila ikijirudia Kwa yeyote napiga makofi. Serikali imepotea njia. Magufuli kweli tutamkumbuka vizazi viishe.