BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mimi Baba Morgan mkazi wa Namtumbo nakuja hapa jukwaani jioni hii kwa lengo la kuomba msamaha kwa wale wote nilio watukana, kuwadhihaki na kuwacheka kwenye nyuzi zozote nilizowahi kuanzisha na nyuzi zote nilizowahi kuchangia. Mimi ni binadamu pia kuna muda nafanya makusudi, napitiwa na muda mwingine nakuwa nipo high. Pamoja na yote Mimi Baba Morgan ni gentleman na very humble huwaga sifurahii napo mkwaza mtu. Naombeni msamaha wenu wana JF wenzangu na kuanzia Leo nitakuwa mwanachama mtiifu. Thanks. LIFE IS NOW.