BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kauli ya mwisho kivipi? NielewesheMkuu, statement yako mbona kama umetoa kauli ya mwisho. Mhπ€π€π€anyway kuomba msamaha pale unapohisi umemkwaza mtu mwingine ndio uungwana, hivyo wengine tujifunze kutoka kwako.
Ubarikiwe mkuu.ππππππ
Nashukuru.Hongera sana kwa kuweza kuomba msamaha maana wengi tunashindwaga hii kitu
Kama unataka Ku rest in peace hivi (joke)Kauli ya mwisho kivipi? Nieleweshe
Dah! Aisee najua hakikwepeki Ila I'm too young to die.Kama unataka Ku rest in peace hivi (joke)
Dah ... Lini umeanza huu ujinga?[emoji56]Mimi Baba Morgan mkazi wa Namtumbo nakuja hapa jukwaani jioni hii kwa lengo la kuomba msamaha kwa wale wote nilio watukana, kuwadhihaki na kuwacheka kwenye nyuzi zozote nilizowahi kuanzisha na nyuzi zote nilizowahi kuchangia. Mimi ni binadamu pia kuna muda nafanya makusudi, napitiwa na muda mwingine nakuwa nipo high. Pamoja na yote Mimi Baba Morgan ni gentleman na very humble huwaga sifurahii napo mkwaza mtu. Naombeni msamaha wenu wana JF wenzangu na kuanzia Leo nitakuwa mwanachama mtiifu. Thanks. LIFE IS NOW.
Unachokitafuta hutokipata.. By the way uwe na jioni njema.Dah ... Lini umeanza huu ujinga?[emoji56]
Dah...kafie mbele banaa....msamaha Bongo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unachokitafuta hutokipata.. By the way uwe na jioni njema.