Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss! miaka yangu ya kusoma thrds mbali mbali, kwa sasa naona uchangiaji wa wengi uko chini sana!Barua yako haijakaa kitaalamu. Imeandikwa kimipasho zaidi na inaonesha una wivu na wanafunzi wanaisoma shule binafsi.
Barua kwa waziri my foot!
Basi ndo keshaamua sasa. Mtamfanya nn? Mnatujazia server tu hapa. Tangu lini ccm walimsikiliza mnyonge ??Kwa ujumla waziri kachemsha!
Pia soma hapa 👇
Nimesikia maneno kama hayo toka kwa mfuga ng'ombe akiwaeleza wakulima kwamba ng'ombe kisha kula amueni sasa! Kama mfuga ng'ombe nawe unasema keshaaamua sasa.Basi ndo keshaamua sasa. Mtamfanya nn? Mnatujazia server tu hapa. Tangu lini ccm walimsikiliza mnyonge ??