Barua ya wazi kwa wema sepetu

Barua ya wazi kwa wema sepetu

nyuli

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
128
Reaction score
95
Mpendwa,
Wema Sepetu,
Ukweli utokao moyoni ni kwamba nakupenda saaaaana, wewe mwenyewe,kazi zako n.k.
Lakini lengo hasa la kuandika barua hii na vile navyohisi juu yako yani ni kama vile umeniloga!Kwasababu kila ukiandikwa vibaya kwenye magazeti mm moyo wangu ndio unalipuka zaidi kwa upendo juu yako.Mfano nikisikia Wema kafumaniwa yani siku hiyo sitalala kwa malavdav juu yako.Namuomba Mola japo siku moja tu nile chakula cha mchana au jioni na wewe,kwakuwa uwezowangu wa kifedha hauwezi kukumiliki basi ntaishia tu kukumiliki kwa-bluetooth!AM CRAZY OVER U!
Wako akupendaye
Nyuli!
 
Hata Bajaji hua zinaota kua SCANIA one day,
 
Jamani mbona mnamsema mwenzenu wakati kaamua kumfungukia kimwana Wema wa Diamond Platnumz?
 
Umeniudhi apo ulipojishusha tu...we mwambie aje zis way ayo ya kifedha atajua akifika.
 
Kwa jinsi WEMA anavyopenda kujaribu vipya, jamaa atakula shavu tuu hata one day! Keep it man!
 
Mpendwa,
Wema Sepetu,
Ukweli utokao moyoni ni kwamba nakupenda saaaaana, wewe mwenyewe,kazi zako n.k.
Lakini lengo hasa la kuandika barua hii na vile navyohisi juu yako yani ni kama vile umeniloga!Kwasababu kila ukiandikwa vibaya kwenye magazeti mm moyo wangu ndio unalipuka zaidi kwa upendo juu yako.Mfano nikisikia Wema kafumaniwa yani siku hiyo sitalala kwa malavdav juu yako.Namuomba Mola japo siku moja tu nile chakula cha mchana au jioni na wewe,kwakuwa uwezowangu wa kifedha hauwezi kukumiliki basi ntaishia tu kukumiliki kwa-bluetooth!AM CRAZY OVER U!
Wako akupendaye
Nyuli!

utaishia kumaliza sabuni tu...
 
Back
Top Bottom