Barua ya wazi kwa wema sepetu

Kimbweka ntake radhi...
Siwezi kuwa na mwenzangu zezeta kama huyo.

Nyuli ndo kazimika hapo......
Ila mbona ngozi ya huyo WEMA huwa nyekundu na mamichirizi ya ajabu, mie rungu langu likiona hivyo linasinyaa ila wengine wanazimika loh!!!
 
Hicho chakula utamkaribisha au unahitaji akukaribishe?
 

Mzee, wacha nikupe wasia; Usife moyo, siku moja utampata Wema!!!!!!!!!.......(Be careful for what you wish....You might get it!!!!)
 
Mimi binafsi Wema Sepetu nampenda sana,ila nashindwa jinsi ya kumpata japo uwezo wa kumtoa out naweza lakini kimyakimya bila watu kujua,maana sitaki kuandikwa na magazeti.Mwenye kujua jinsi ya kumpata au kuniunganisha na Wema Sepetu angalau one night naomba ani PM
 

Hakyanani Domo ataua mtu.
 
Heheheyaaa....hii ndo raha ya jf ht ukiwa na stress zko zinayeyuka.acha ncheke mie nnenepe!nkonde nnune nna......HEHEHEYAAAA....UTAISHIA KULA KWA MACHO TU!
 
Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ..my ribs jameni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Aisew hata miye nampenda wema.....kale kasauti ka kitoto drives me insane
 
Hata ukipima na majibu yawe NEGATIVE humpati.......... Tatizo ni hivyo vijisenti vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…