holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Barua hii imfikie waziri wa wizara yetu pendwa ya SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO Mh. Paramagamba Kabudi
Kwanza napenda kuipongeza serikali chini ya Mh. Rais Samiah Suluhu kupitia Wizara ya michezo kwa juhudi inazozifanya kuinua Sekta ya michezo nchini, Ahsante sana Mama Samia
Jana wakati natazama mchezo wa NAMUNGO VS SIMBA nilifarijika na kufurahi huku nikibubujikwa na machozi kukuona Mhe Kabudi ukiwa Jukwaani kuangalia game baina ya timu hizi mbili, mwanzo wakati unakabidhiwa wizara nlikuwa na wasiwasi kuwa utaiweza wizara hii ya pilikapilika! lakini jana umeni prove wrong ahsante sana Mhesimiwa
Kwenda kwako uwanjani jana najua umejifunza mengi,hasa hili suala linalopigiwa kelele kila siku,(la waamuzi) na bahati nzuri umeenda uwanjani ukakutana na kubwa kuliko,vibwanga na madudu mazito ya waamuzi nchini. hata wewe ni shahidi ya yaliyotokea jana.
Je, serikali kupitia wizara yako ina mpango/mkakati gani kupata waamuzi waliopikwa na kuiva kuzitumikia taaluma zao?
Naomba kuwasilisha,
holoholo mpenda michezo.