Barua ya wazi(Open letter) kwako Fredrick Bundala Skywalker

Jamaa ni down to earth vibaya mno. Nilipishana nae kwenye media station flani akanisalimia fresh tu japo presenters wengine tena hawana hata nusu ya brand yake walikuwa wanapita tu,
Mungu ampe mafanikio zaidi
Jamaa yuko peace sana. Kuna mwaka nilikuwa na shida naye nikawa naomba mwongozo wake nikamtumia msg kwenye namba ya studio kwamba anipe namba yake. Jamaa kiroho safi tu kabla kipindi hakijaisha akanitumia.
 
Hongera kwa kujipa promo.Biashara ni matangazo. Ila ulitakiwa kulipia tangazo ujue.
 
Umenena vyema mkuu
 
Daah maisha haya huyo mwamba Sky walker nimesoma nae school moja pale musoma technical High school zamani musoma alliance class la 2008 jamaa alikua kichwa tangu zamani. Akiwa Radio Victoria FM musoma alikua moto sana.
 
Jamaa ni down to earth vibaya mno. Nilipishana nae kwenye media station flani akanisalimia fresh tu japo presenters wengine tena hawana hata nusu ya brand yake walikuwa wanapita tu,
Mungu ampe mafanikio zaidi [emoji1431][emoji1431]
Huyo ni ngosha always mangosha ndio wako ivo except wanyantuzu.
 
Daah umemsifia sana hii nzuri kumsema mtu kwa mazuri.
Ngoja nikamcheki
 
Daah maisha haya huyo mwamba Sky walker nimesoma nae school moja pale musoma technical High school zamani musoma alliance class la 2008 jamaa alikua kichwa tangu zamani. Akiwa Radio Victoria FM musoma alikua moto sana.
Victoria fm ya malima kwasakwasa Bundala akiendesha kipindi cha amka na majoka ila sidhani kama Fred ni class of 2008
 
Afanye assignment zake sawa sawa kabla ya kuhoji watu wenye akili... asome na ajiandae kabla ya kuwahoji watu na history zao .. ile interview yake na Imam Abas ilimuanika sana.. mambo mengi ya Dsm na kuhusu background ya bongo fleva yanampiga chenga.. otherwise he good 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…