Barua ya wazi(Open letter) kwako Fredrick Bundala Skywalker

Ni wazi sasa we jamaa unazeeka vibaya..
 
Jamaa hapendi kukosolewa. Tulishawahi kuingia nae kwenye argument ni mwepesi sana ku panic.
Anataka kila mtu amwite smart kuna watu tunaujua mziki kumzidi ila tuna mishe nyingine. Mshamba mmoja yule na nguo zake za Christmas
 
Kuna mambo kwenye industry ameyajua ukubwani alipokuja Dar akapewa fursa na Nancy sumari pale bongo5 hataki kukubali hajui kila kitu
 
Dr Mkoko ni mkufunzi Udsm
Makomba yupo DW akireport kutokea Tansania
 
Baada ya kuona husifiwi na hutambuliki popote na Watoto wadogo Wanakushinda umeamua uje hapa JamiiForums ujipakulie Minyama ( Ujisifu ) Kitoto na Kishamba hivi?

Shame on You.....!!
 
Baada ya kuona husifiwi na hutambuliki popote na Watoto wadogo Wanakushinda umeamua uje hapa JamiiForums ujipakulie Minyama ( Ujisifu ) Kitoto na Kishamba hivi?

Shame on You.....!!
Genta unakuja kumsifia yule Dada kibonge wa IPP media tunakausha tu.
Acha jamaa amsifie idol wake.
 
Daah maisha haya huyo mwamba Sky walker nimesoma nae school moja pale musoma technical High school zamani musoma alliance class la 2008 jamaa alikua kichwa tangu zamani. Akiwa Radio Victoria FM musoma alikua moto sana.
Ni kwamba alimaliza kidato gn mwaka huo
 
Steve Moyo Mchongi #Ri.p Bro wetu huyu.
 
azam tv kupitia chaneli yao ya UTV wana tv program inaitwa zumari. ni special kwa ajiri ya kuwafanyia mahojiano wastaafu waliolitumikia taifa ktk kada mbalimbali.
 
Kweli mkuu ulikuwa shabiki wa RFA ila Rahabu Fred alikuwa anajua sana kipindi cha kutafutana kile sikumbuki kilikuwa kinaitwaje ila itoshe kusema RFA iliwakutanisha mafundi
Search line
 
Nimefurahi kusikia Sky-Walker amerudi kwenye game. Naomba kuuliza tu, hivi Terrence Mwakalukwa yuko wapi siku hizi ?
Huyu mtu alikuwa na sauti ya pekee.l, alikuwa anaimba pia. Nimemsikiliza sana Clouds, Late night show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…