sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono.
Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa computer?
Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa computer?