sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ndio una type na ku sign asisahau then a scan aweke attachment I wish him/ her best wishesHellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono.
Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa computer?
Unatumia software gani kusign mkuuKwa upande wangu sina haja ya ku-print ili niweze ku-sign HAPANA.
Naandika kwenye laptop au kwenye simu, nai-sign kwenye simu then naituma juu kea juu...!
Inakuwa imeisha hiyo.
WPS Fill & Sign.Unatumia software gani kusign mkuu
Poa mkuu nitajaribu aisee aya mambo ya type print sign scan yanachoshaWPS Fill & Sign.
Poa mkuu nitajaribu aisee aya mambo ya type print sign scan yanachosha
Written na typenHellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono.
Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa computer?
View attachment 1990836
ShukraniWPS PDF Fill & Sign - Fill & Sign on PDF (Premium Cracked) 1.8.7 Download for android
WPS PDF Fill & Sign – Fill & Sign on PDF APK MOD (Premium Cracked/Unlocked) Download for android Latest The latest version of WPS PDF Fill & Sign – Fill & Sign on PDF is 1.8.6, You can download WPS PDF Fill & Sign – Fill & Sign on PDF directly on apkmartins.com. Crazy Dino ...apkmartins.com
Tangazo linasemaje kwan mkuu?Than mkikosa mje kubana pua hapa, someni matangazo vzuri
Samahani Mkuu hivi Una sign sehemu Gani ya Barua na Una sign kitu Gani?Andika kwa mkono halafu sign ,kisha scann halafu iweke kwenye mfumo wa pdf kisha upload
Samahani Mkuu hivi Una sign sehemu Gani ya Barua na Una sign kitu Gani?
Kama barua ya kawaida tu, kule mwisho chini sign inatangulia kisha jina lakoSamahani Mkuu hivi Una sign sehemu Gani ya Barua na Una sign kitu Gani?
Ahaa Asante mkuu Kwa muongozo, nilikua nimeshafnya hvyo sema ushamba wa SystemKama barua ya kawaida tu, kule mwisho chini sign inatangulia kisha jina lako