Barua za Maombi 5000 immigration

Barua za Maombi 5000 immigration

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Taarifa kutoka chanzo changu cha ndani kbs.Kimesema mpaka sasa wanazifanyia kazi barua elf 5 za maombi ya kazi.
Nafasi 40 waliomba 5000.
 
Kazi ipo...ina maana watu wengi ni jobless
 
Teh teh teh,si ndo hao watu walikua wanasema eti mishahara yao ni kama posho au?
 
ukiona hivyo ujue kuna "ulaji" hapo nafasi 40 lakini maombi 5000!
 
siku mingi niliachaga kuwa mteja postal, dili kujiajiri !!!
 
Mwenye bahati yake atapata tuombe viongozi wasipeleke vimemo tupambane watoto wakulima maana viongozi wetu kila sehemu wanapeleka ndugu zao huko bot,tra,tumekubali yaishe basi huku uhamiaji,magereza,tpdf tuachiane watoto wa wakulima au kama watoto wenu watakuja waje tupambane nao hakuna kuja na vikaratasi mikononi,maana mna kaba kila sehem not fair mnataka sisi tufanye kazi gani?
 
probability ya kupata ni 0.00000000000...........almost negligible:smash:
 
Back
Top Bottom