Barua za uwongo za wafungwa wa Hong Kong

Barua za uwongo za wafungwa wa Hong Kong

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,000
GT.

What is wrong with the below leter??????

Total Hoax!!!!!

WAFUNGWA HONG KONG WAENDELEA KUFUNGUKA, MWINGINE AANDIKA BARUA ISOME HAPA

2013-08-13inmate-letter04.jpg

2013-08-13inmate-letter05.jpg

2013-08-13inmate-letter06.jpg
 
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.

Uongo ukiambatana na matukio halisi, mara nyingi hubadilika na kuaminika, hata kama ni uongo. Matukio ya hivi karibuni yaliyowekwa humu jamvini kuhusu Watanzania wawili kukamatwa Hongkong na mwingine kukwmatwa U.S.A. kwa kubeba madawa ya kulevya, kunachangia kuugeuza huo 'uongo' kuwa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
i agree with you, hii ni michezo ya kijinga kabisa, unaweza kuona baadhi ya majina na matukio yaliyoandikwa ni ya kuunganisha na kutengeneza hadithi yenye mtiririko.
 
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.

wote tunakubaliana kua madawa ni tatizo, lakini zitumike njia sahihi na wazi na si hizi za uongo na uzushi wa kutunga barua mfululizo, mtu anaweza jikalia nyumbani kwake n akujitungia jambo kwakua ana visa na mwenzie , na kuaminisha watu...
 
Thibitisha kwamba huo ni uzushi. Au kwa kuwa katajwa Riz1 ndio povu linawatoka? Hebu niambie katika majina yote yaliyotajwa ni lipi ni jipya? Mbona wote wanajulikana tu. Msitake kutetea wauaji wa vijana wetu.

Tiba
 
Again,

CCM's good-for-nothing attempt to divert our attention from the real issue.
What does it help us if the letter is or is not legite?
Wacheni kupalilia hii biashara inayoua vijana wetu...PERIOD!
 
Kama barua ni uzushi hata hayo madawa yaliyokamatwa pia ni uzushi?

Ukweli hata uupotoshe na kuupinda vipi lazima kuna siku utanyooka tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.

MkuuBAK hata wajitahidi kupotosha vipi, hali halisi ya matukio inashindana nao. Tulishapata habari siku nyingi za watu kukamatwa Hongkong na yaliyojiri, ukiunganisha dots si shida kujua kuwa hizi habari zina ukweli. Huu ni wakati wa digitali ambapo habari husambaa kama mionzi ya nuru. Watanzania sasa hivi wanaamini habari zitolewazo kuhusu wanaofanya biashara hii haramu na upotoshaji unaofanywa hauwasafishi kamwe, ni kama na kupiga deki na tambara lenye matope.
 
Mwandikaji barua naye anaogopa kutaja majina anabaki tu kusema mapapa. Hao punda wanawaogopa maboss wao wakuu. Kama wako makini wawataje halafu tuone Rais atasema kitu gani. Ila nina hakika Serikali inafahamu fika hili kundi papa lakini haiwafanyii kazi!!!! Vinginevyo uniambie kuwa hatuna Idara ya Usalama wa Taifa!!!
 
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Msome Mkuu Dingswayo ndio utanielewa vizuri vivian. Kuandika barua kila mtu anaweza kuandika barua ya uwongo, lakini facts tulizonazo kuhusu Watanzania kujihusisha na biashara ya kulevya katika nchi mbali mbali duniani kamwe haziwezi kupikwa.

BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
 
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho

Please don't ignore the seriousness of the content of message.....the medium of which notwithstanding....for me I would question more about the font type....but the guy must have been hiding his identity doing that
 
Muandiko ni wa mtu anaefahamu ukweli, kwa hofu aliyo nayo anaamua kubadili muandiko ili nanyi wenye mioyo migumu kuamini na kujua mambo yanavyo kwenda mjue. Barua ni ya uongo ila yasemwayo ni ya ukweli.
 
Back
Top Bottom