Uongo ukiambatana na matukio halisi, mara nyingi hubadilika na kuaminika, hata kama ni uongo. Matukio ya hivi karibuni yaliyowekwa humu jamvini kuhusu Watanzania wawili kukamatwa Hongkong na mwingine kukwmatwa U.S.A. kwa kubeba madawa ya kulevya, kunachangia kuugeuza huo 'uongo' kuwa ukweli.
Ahsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.

GT.
What is wrong with the below leter??????
Total Hoax!!!!!
WAFUNGWA HONG KONG WAENDELEA KUFUNGUKA, MWINGINE AANDIKA BARUA ISOME HAPA
haijalishi wako wapi au ni hoax..... whatever,ila mwaka huu mtatajana mpaka bhaaaaaassssssiiiiiiii
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwishoAhsante sana Mkuu Dingswayo naona juhudi zimeshaanza za kutaka kupotosha kuhusu hii habari ya Watanzania kujihusisha na madawa ya kulevya kiasi cha kuiangusha heshima ya nchi katika Jumuiya ya Kimataifa.
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho
BAK of all the people!! Nilijua utakua wa mwisho kuamini hii barua look at the date on the top. then angalia tarehe chini mwisho