kwa sasa yupo bbc ,kuna siku nisikia bbc wakisema kuwa BARUANI na mtangazaji mmoja wa kike kama sikosei STUMAI GEORGEwote toka sahara media kuwa wapo mafunzo kwa kile walichosema kuwa ni watangazaji wa radio washirika
who is baruani muhuza?
muulie diamond.....
who is baruani muhuza?
uwe unachek news
muulie diamond.....
hata hapa nilipo nachek news JF
muongo,hapo utakuwa unasoma na kuandika[/QU
muongo wewe ambae hujui kuchek maana yake nini
muulie diamond.....
Huwa anaripotia BBC akiwa DSM