Kuna huyu mtangazaji wa radio na TV Baruani Mhuza ambaye awali alikuwa akifanya kazi Radio Free Afrika baadaye akachomokea TBC, jana alisikika tena RFA na mwenyewe akasherehesha kipindi alichokuwa akiendesha kuwa baada ya kutokuwep RFA kwa miaka miwili amerudi tena na ari, kasi na nguvu mpya....Yawezekana marisho ya kijani yaliyomvutia hadi kukimbilia TBC yameshanyauka???....
Wana-JF tulizoe mfumo wa ajira za kudumu lakini katika sekta binafsi; na hata baadhi ya ofisi za umma mambo yamebadilika.Kuna huyu mtangazaji wa radio na TV Baruani Mhuza ambaye awali alikuwa akifanya kazi Radio Free Afrika baadaye akachomokea TBC, jana alisikika tena RFA na mwenyewe akasherehesha kipindi alichokuwa akiendesha kuwa baada ya kutokuwep RFA kwa miaka miwili amerudi tena na ari, kasi na nguvu mpya....Yawezekana marisho ya kijani yaliyomvutia hadi kukimbilia TBC yameshanyauka???....
Nyumbani ni nyumbani tu.........Karudi nyumbani huyu..Kuna mwingine naye anaitwa Basil Mbakile aliondoka Sahara Communications akaenda IPP Media kisha akarudi Sahara,kwa anayejua habari zake hivi bado yupo Sahara Comm?
Wana-JF tulizoe mfumo wa ajira za kudumu lakini katika sekta binafsi; na hata baadhi ya ofisi za umma mambo yamebadilika.
Mfumo wa ajira siku hizi ni mikataba ya muda maalumu (Fixed Term Contracts) na makubaliano ni kwamba mkataba ukiisha ni hiari ya ya kila mmoja kuendelea au kotoendelea na kazi.
Hapa hakuna cha mfumo wa ajira wala nini; Baruani aliacha kazi kwa kukimbilia ABC Tv ya fisadi EL kufika huko akaanza kuambiwa ampigie magoti na awe alamba miguu yake akasema siwezi akarudi mbio kwa Tido kuomba arudi TBC hoyo mzee mzima akamjibu umekosea kutoka kwani hata mimi nitarudi huko nilikutanguliza wewe ili tukafanye kazi wote huko na mkataba wangu unaisha TBC naachia ngazi. basi akawa hana jinsi ikambidi ajisalimeshe nyumbani RFA huko akapokelewa kwa mikoni sita.
Huyo ni Baruani Muhuza jamani na yule Janeth Mwenda Talawa hasikiki, yu wapi?
Janeth Mwenda Talawa
September 15, 2008
Former ITV- Presenter. Nilikutana nae leo kwa kikombe cha chai na kuzungumza masuala ya Maendeleo ya Iringa. Ana progressive ideas, na anaongea Kihehe cha 'mugati' ( ndani). Ilibidi nimwombe a switch kwenye Kiswahili chetu cha Dar Es Salaam!
comments
Date: Thu Sep 18, 09:02:00 AM EAT,Anonymous
Janet Mwenda Talawa, tunakubali wewe ni mwanamke wa kuigwa kwani unajiamini katika kazi yako na unafanya mambo ya maana mfano tunaona kwenye filamu yako ya kwanza inayoitwa SEGITO vipi tusubiri nyingine au! hongera unamiliki kampuni yako inaitwa Jado kama sijakosea, hakika wewe ni mwanamama wa kuigwa tunakuhitaji sana katika kuelimisha wanawake,
http://mjengwa.blogspot.com/2008/09/janeth-mwenda-talawa.html
Nyumbani ni nyumbani tu.........Karudi nyumbani huyu..Kuna mwingine naye anaitwa Basil Mbakile aliondoka Sahara Communications akaenda IPP Media kisha akarudi Sahara,kwa anayejua habari zake hivi bado yupo Sahara Comm?
Hii sasa kali, sasa wewe umeamua kutuletea udaku