Hio mbona ishakuwa miscarriage ?!!!!
Badala ya kuwekeza kwenye kupikia kwa kutumia umeme ambao upo au CNG kwenye hio gesi Asilia kwenye Magari watu wanaagiza LPG na kupigia chapuo Kampuni binafsi kwa kugawa mitungi ya gesi ili mtumiaji awe teja wa kununua gesi ambayo ni gharama kuliko mbadala ambao ni umeme ambao upo wakati huo huo kuwakataza watu kuni ambazo walikuwa wakitumia mpaka bure...