BASATA/BRELA: Je Mh. Makonda Yupo Sahihi Umiliki Jina la TZ Sweetheart?

BASATA/BRELA: Je Mh. Makonda Yupo Sahihi Umiliki Jina la TZ Sweetheart?

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
2,348
Reaction score
3,038
Tusipoteze muda wote tunajua kuwa hakuna taasisi rasmi ya serikali iliyosajili rasmi jina la TZ Sweetheart kutumika kwa mtu Fulani

Je tunaliongeleaje hili kwa pande na pembe zote kwa athari/faida za kisiasa katika jamii kwa kuangalia wadhifa na weledi wa nafasi ya uongozi wake ...?

Inawezekanaje mpiga Vita ya Mihadarati ana mnadi mtumiaji wa Mihadarati kama kioo Cha jamii kinachomiliki jina la TZSweetheart

Wakati tuna jadili hilo, katika kila hoja itakayo tolewa Basi itolewe kwa kufuata/kuhusisha na kumbukumbu ya matukio yafuatayo:

1. Kisa na sababu za kuhama kwa W.Sepetu CCM kwenda CDM

2. Kisa na sababu za kurudi kwa W.Sepetu kutoka CDM kwenda CCM

3. Kisa Cha kuwa mmoja waliotajwa katika orodha ya watumiaji na wauzaji wa Mihadarati

4. Kufikishwa mahakamani na hatimae kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia Mihadarati





Leo nimeamini sio CCM ni yeye mwenyewe Mh. Wetu na ubongo wake ... Naimani Dr. Bashiru hawezi kuongelea hii kitu katika sura ya uadui ... only labda aongelee when he's is speaking or addressing something funny about intertainment and not as a Chairman of the rulling party ...
 
Bashite bhana haishiwi vituko wala vibweka...yajayo yanafurahisha!.
 
Inanipa ukakasi kidogo kujua kuwa mwanamke aliyekuwa nae ndani anajiskiaje kuhusiana na haya mambo anayoyafanya...?

Hatarious.
 
Mnaacha kuwaita wake zenu ayo majina mna enda kutetea upambavu wa wengine..ata we mwandiahi ni abnormal kabsa[emoji855]
 
Uhuru (kwa Kiingereza freedom) ni hali ya kuweza kufanya mambo bila kuingiliwa na yeyote au hali yoyote.

Unaweza kumhusu mtu binafsi hadi nchi nzima.

Uhuru humwezesha mtu kujitawala
-Kiakili.
-Kidini.
-Kimaadili.
 
Nilikuwa.sijui kuwa lugha ndio kikwazo cha maendeleo ya kazi zetu za sanaa!
 
Abnormal hiyo vipi ... ushaskia mkuu wa Mkoa amesema Hilo jina Lina mtu tayari Sasa unataka nimwite mkewangu halafu akamatwe kwa kutumia jina lisilo lake au?

Anyways! Ndio maana niliomba muongozo katika kujadili hili ... kwa sababu hilo ndilo jina analotumia mke wangu pale ninapo mwita Mimi tu, na familia yangu yote inajua .... Sasa nimeskia jina Lina mtu tayari na Mkuu katangaza hivyo nimechanganyikiwa ntafanyaje?

Mnaacha kuwaita wake zenu ayo majina mna enda kutetea upambavu wa wengine..ata we mwandiahi ni abnormal kabsa[emoji855]
 
Back
Top Bottom