Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Tusipoteze muda wote tunajua kuwa hakuna taasisi rasmi ya serikali iliyosajili rasmi jina la TZ Sweetheart kutumika kwa mtu Fulani
Je tunaliongeleaje hili kwa pande na pembe zote kwa athari/faida za kisiasa katika jamii kwa kuangalia wadhifa na weledi wa nafasi ya uongozi wake ...?
Inawezekanaje mpiga Vita ya Mihadarati ana mnadi mtumiaji wa Mihadarati kama kioo Cha jamii kinachomiliki jina la TZSweetheart
Wakati tuna jadili hilo, katika kila hoja itakayo tolewa Basi itolewe kwa kufuata/kuhusisha na kumbukumbu ya matukio yafuatayo:
1. Kisa na sababu za kuhama kwa W.Sepetu CCM kwenda CDM
2. Kisa na sababu za kurudi kwa W.Sepetu kutoka CDM kwenda CCM
3. Kisa Cha kuwa mmoja waliotajwa katika orodha ya watumiaji na wauzaji wa Mihadarati
4. Kufikishwa mahakamani na hatimae kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia Mihadarati
Leo nimeamini sio CCM ni yeye mwenyewe Mh. Wetu na ubongo wake ... Naimani Dr. Bashiru hawezi kuongelea hii kitu katika sura ya uadui ... only labda aongelee when he's is speaking or addressing something funny about intertainment and not as a Chairman of the rulling party ...