BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii.

Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?

 
Akamatwe mara MOJA
1.Kama mbunge alitolewa out je huyu aliyerusha mitandaoni
2. Anatuvunjia ndoa simu zetu wengine huwa zina download automaticaly. Hii si kesi na wife
3. Antengeneza jamii ya kupoteza nguvu, maana vitu viko out tu. Zamani mtu akiona hata paja wazungu hao
4. Akmatwe kwa matumizi mabaya ya net za G.W. Bush
5. Akamatwe kwa kuonesha vitu vyake bila idhaa yetu.

Concl . Hazimtoshi
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Kama Baraza la sanaa lenye kusajiri wasanii kwa majina, physical address, email address, mobile number etc wameshindwa kumpata Linah basi lipo tatizo pahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…