BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

BASATA mbona wanaendesha mambo kama kijiwe cha majungu?

Wamewahi kutoa guide au sheria za picha zipi zipigwe na zipi zisipigwe?Wanayo mamlaka hayo?
Huyo dogo hapo nyuma ni mtoto wa nani?
Mambo ya 18+ sikuhizi yanafanyika watoto wakishuhudia?
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Kwa hapo alipopigia hiyo picha hakuna madhara maana ni sehemu inayoruhusu kuvaa kama hivyo ili aogelee.
Shida hi hao walioiposti
 
Jamani ndiyo kujiuza huku, hakuna hela mjini na wanaume hawahongi tena kama zama zile.....mwacheni ajiuze.
 
BASATA mbona wanaendesha mambo kama kijiwe cha majungu?

Wamewahi kutoa guide au sheria za picha zipi zipigwe na zipi zisipigwe?Wanayo mamlaka hayo?
Kwanza BASATA wanatakiwa kuelewa kwamba kujifunika funika mwili mzima sio utamaduni wa mtu mweusi, mababu zetu walijisitiri sehemu za siri tu na maisha yaliendelea.


BASATA ACHENI USHAMBA MARA MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…