Tetesi: BASATA kumfungia Diamond yabainika ni changa la macho kufunguliwa kabla ya Jumatatu (Xmass).....

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Lile sakata la BASATA kumfungia Dimond & kundi lake la WASAFI kufanya maonyesho ndani na nje ya nchi "kwa muda usiofahamika" imegundulika kuwa ni "sinema" ingine ya kihindi iliyotengenezwa makusudi na baadhi ya maafisa wa BASATA wakishilikiana na yule "director wa movies za vituko ambapo katika movies zake zoote Sterling anakufa kabla ya movie haijamalizika"..natumai mnamfahamu huyo "director Bashite"...kwa ufupi kilichofanyika ni kwamba baada ya kelele za wananchi kushika kasi kuhusu upuuzi wa huyo mtoto kudharau maagizo ya taasisi za serikali..BASATA hawakuwa na meno ya kumuadhibu huyo mtoto mpaka pale aliporuka mkojo na kukanyaga kinyesi (sakata la kukejeli ATCL na wafanyakazi wake) na ndipo walipopata nguvu angalau kumkemea na hata "Director" wake asingeweza kumbeba kwa swala linalogusa maslahi ya anayewatumiaga hao vilaza kuharibu yaani "Jiwe" na ndipo wakakubaliana wamfungie kifungo kisichokuwa na mda maalum kwa ajili ya kutengeneza "kick" na afunguliwe mapema kabla ya sherehe za X-mass.. waliona kama angefungiwa miezi sita arafu aje kufunguliwa kabla hata mwezi haujaisha wanajua ingeleta kelele saana tofauti na hii adhabu aliyopewa na ndio maana dogo akaambiwa afute haraka ile post yake ya kukashfu ATCL kama sharti moja wapo (haipo tena kwenye page yake) mimi kama kijana mwenzake shishadadii dogo afungiwe na namtakia mafanikio kwani katoka mbali ila kinachoniuma saana nin hii "double standard" au undumila kuwili wa watendaji wa taasisi za serikali ya awamu ya tano hasa linapokuja swala la kumuadhibu mtu wao anapoguswa....kwa kosa alilolifanya Diamond hakuna tofauti na kosa kama la Wema Sepenga au wasanii wengine wanaotumikia kufungo mpaka leo kwani "matusi" ni matusi tu kinachoangaliwa ni madhara yanoyobaki kwenye jamii kutokana na upuuzi wa mtu fulani...Nimepata taarifa za uhakika dogo atafunguliwa kabla ya X-mass (asipofunguliwa nikapimwe marinda) na tayari ameshapokea offer ya onyesho la terehe 26 Kenya,amekubali na tayari WASAFI kupitia mitandao yao kibao walioitengeneza instagram wametangaza tangazo hilo...Ninalo waomba BASATA ni kwamba kama akifunguliwa yeye na wengine woote wafunguliwe kuondoa undumila kuwili tushajua kuwa jamii inaachwa iharibike kwa maslahi ya wapuuzi fulani..isitoshe hata wake za wakazi wa Mbezi shamba nai "wameliwa" saana kutokana na foleni iliyopo kwenye barabara hiyo...kauli ya mtu mwenye habari za uhakika za nchii hii acha tuendelee kutiana Nyegezi...
 
Double standard imekua kawaida sana awamu hii ubaguzi nje nje
 
Kama ni kweli wala haitashangaza...Bashite kwa fitna hana tofauti na "Fir-aun"
 
viongozi wa BASATA waliohusika na hili tukio inatakiwa kujiudhuru mapema sana ili kulinda heshima zao kama wanataka, lakini kama wanalinda ugali basi wataendelea kutetea ugali. Nasubiria sana kuona hilo jambo km ni kweli, na hapo ndpo nitadharau sana mamlaka za kiserikali zote zilizopo nchini hatimae na kugeuza kura yangu ya ndio kwa urais 2020. Yaani wanaomchafua ndio watakaomsafisha, km nchi wameisajili kwa freemason alafu matusi ruksa ...basi hakuna shida. Nchi ya matusi toka kwa wasanii itakuwa yakwanza Tz...imekengeuka na kuanza kushabikia na kuruhusu mitusi kwa wananchi wao...tusubirie tuone huo utoto km upo kweli
 
Mkuu kwani wewe ulitakaje?
Yaani ulikua unaamini kuwa mondi atafungiwa milele?
Labda angekuwa upinzani
 
Lile sakata la BASATA kumfungia Dimond & kundi lake la WASAFI kufanya maonyesho ndani na nje ya nchi "kwa muda usiofahamika" imegundulika kuwa ni "sinema" ingine ya kihindi iliyotengenezwa makusudi na baadhi ya maafisa wa BASATA wakishilikiana na yule "director wa movies za vituko ambapo katika movies zake zoote Sterling anakufa kabla ya movie haijamalizika"..natumai mnamfahamu huyo "director Bashite"...kwa ufupi kilichofanyika ni kwamba baada ya kelele za wananchi kushika kasi kuhusu upuuzi wa huyo mtoto kudharau maagizo ya taasisi za serikali..BASATA hawakuwa na meno ya kumuadhibu huyo mtoto mpaka pale aliporuka mkojo na kukanyaga kinyesi (sakata la kukejeli ATCL na wafanyakazi wake) na ndipo walipopata nguvu angalau kumkemea na hata "Director" wake asingeweza kumbeba kwa swala linalogusa maslahi ya anayewatumiaga hao vilaza kuharibu yaani "Jiwe" na ndipo wakakubaliana wamfungie kifungo kisichokuwa na mda maalum kwa ajili ya kutengeneza "kick" na afunguliwe mapema kabla ya sherehe za X-mass.. waliona kama angefungiwa miezi sita arafu aje kufunguliwa kabla hata mwezi haujaisha wanajua ingeleta kelele saana tofauti na hii adhabu aliyopewa na ndio maana dogo akaambiwa afute haraka ile post yake ya kukashfu ATCL kama sharti moja wapo (haipo tena kwenye page yake) mimi kama kijana mwenzake shishadadii dogo afungiwe na namtakia mafanikio kwani katoka mbali ila kinachoniuma saana nin hii "double standard" au undumila kuwili wa watendaji wa taasisi za serikali ya awamu ya tano hasa linapokuja swala la kumuadhibu mtu wao anapoguswa....kwa kosa alilolifanya Diamond hakuna tofauti na kosa kama la Wema Sepenga au wasanii wengine wanaotumikia kufungo mpaka leo kwani "matusi" ni matusi tu kinachoangaliwa ni madhara yanoyobaki kwenye jamii kutokana na upuuzi wa mtu fulani...Nimepata taarifa za uhakika dogo atafunguliwa kabla ya X-mass (asipofunguliwa nikapimwe marinda) na tayari ameshapokea offer ya onyesho la terehe 26 Kenya,amekubali na tayari WASAFI kupitia mitandao yao kibao walioitengeneza instagram wametangaza tangazo hilo...Ninalo waomba BASATA ni kwamba kama akifunguliwa yeye na wengine woote wafunguliwe kuondoa undumila kuwili tushajua kuwa jamii inaachwa iharibike kwa maslahi ya wapuuzi fulani..isitoshe hata wake za wakazi wa Mbezi shamba nai "wameliwa" saana kutokana na foleni iliyopo kwenye barabara hiyo...kauli ya mtu mwenye habari za uhakika za nchii hii acha tuendelee kutiana Nyegezi...
Kama nilivyosema jana... leo andiko langu litatimia kabla jogoo hajawika kesho.. BASATA leo watafuta adhabu au wamechelewa saana Monday....itatoka hewani acha watu waendelee kuliwa tu!
 
Back
Top Bottom