BASATA mpo wapi???? Rosa Lee anatuonesha sana nyeti zake.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.

BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .

Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.

Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .

rosa_ree-20190223-0002.jpeg
rosa_ree-20190223-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unaa. Tanzania imezaliwa mwaka 1964, sasa maadili unayoyaongelea yameanza mwaka gani?
 
Acha izo jomba lai,,anatutolea mi stress kwa fas,,Liache toto la kichaga,Shimboni shafoo
 
Huyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.

BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .

Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.

Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .

View attachment 1030217View attachment 1030218

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu anatuonesha au anakuonesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom