Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
suala sio kumfatilia watoto wetu wanjifunza nini kutoka kwa huyu Malaya
Ukiona mtu anafanya upumbavu mpuuzie fanya mambo yakosuala sio kumfatilia watoto wetu wanjifunza nini kutoka kwa huyu Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu anatuonesha au anakuoneshaHuyu mwanadad Rosa Lee anapoelekea sasa siko kabisa anaharibu kabisa maadili ya kitanzania.
BASATA tafadharini sana huyu binti mumfungie asifanye muziki japo kwa miaka mitano angalau akili itamkaa sawa .
Yani anaboa sana mara kwa mara amekuwa mtu wa kuposti picha za nusu utupu licha ya kuonywa mara kwa mara ila bado hasikii.
Kama kweli sheria ni msumeno ,huyu binti msimkalie kimya .
View attachment 1030217View attachment 1030218
Sent using Jamii Forums mobile app
watoto hawapaswi kumiliki smartphone nao ni makosa pia!!!suala sio kumfatilia watoto wetu wanjifunza nini kutoka kwa huyu Malaya
Sent using Jamii Forums mobile app