Ivi kama Baraza la Sanaa tofauti ya kuzibiti mahudhui Na mienendo ya wasanii isiweze kuleta impact mbovu kwenye jamii usika kazi yake nyingine ni ipi?
Mbona akuna mifumo rafiki inayo wezesha kazi za wasanii kuto ibiwa Wala kutumika Bila msanii kupata kipato
Nimetoa remix ya mwanza nyegezi Ila mimi nimeipa jina la KUNDUCHI dar es salaam.
Sasa nashangaa basata wanataka kesho nifike kwenye office zao tatizo nini kwenye nyimbo yangu ya KUNDUCHI