Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 178
E fm leo imewaalika BASATA na Nay wa mitego muda huu ktk kipindi chao cha Ubaoni.
Kuna malumbano makali. Fuatilia.
Kuna malumbano makali. Fuatilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi sawaE fm leo imewaalika Basata na Nay wa mitego muda huu ktk kipindi chao cha Ubaoni.
Kuna malumbano makali. Fuatilia.
vp...kakugongea demu nn?!!Alitakiwa akatazwe kufanya muziki maisha yake yote. Ili iwe fundisho kwa wengine.
Yeye kila siku ni kuimba nyimbo za kijinga.
Hivi hana washauri?
Alikulia kinini chako?Kumuita huyo neema mitego ni kumpa tu kik mav*
Una mihemko tu wewe,nyimbo ya kawaida sana ile!Alitakiwa akatazwe kufanya muziki maisha yake yote. Ili iwe fundisho kwa wengine.
Yeye kila siku ni kuimba nyimbo za kijinga.
Hivi hana washauri?
vp...kakugongra demu nn?!!
Kawasikilizishe wazazi wako then waombe feedback.Una mihemko tu wewe,nyimbo ya kawaida sana ile!
Kuna sehemu nimeandika kanigongea demu?vp...kakugongea demu nn?!!
Kama wameifungia redioni na TV saw a. Lakini kwenye internet itakuwa ni ukuda kama waliomfanyia Snura. Kama wewe humsikilizi kuna wanaomsikiliza. Ujinga ni tafsiri yako tu.Msanii haelimishi..hafurahish wakazi gani wamfungie tu jingajinga
Ukisema hivyo nyimbo nyingi tu huwezi kuwasikilizisha wazazi!Hata wimbo wa juzi wa Jux "wivu" haufai,una maneno kama "napenda unavyonipa taratibu"!Kupewa nini?Kawasikilizishe wazazi wako then waombe feedback.