BASATA na Nay Wa Mitego Kikaangoni E FM

Wimbo wa Ney tatizo si Mashairi, tatizo ni cover ya wimbo na picha zilizo tumika humo.
 
kwa hiyo kwenye radio unasikiliza wimbo au kava?
Hapana kwenye redio sasa huko ni personal conflicts na hao BASATA lkn nenda kapakue huo wimbi utaukuta ktk format ya mp4 ambayo ame attach ma picha ambazo hazina maadili kabisa. Yani kama kwenye wimbo ameficha maana kwenye hizo picha maana ipo wazi so hapo unafikiria nini kingefuata.
 
Mimi sitaki kupakua huo wimbo nataka kusikiliza kwenye Radio...nitakuelewaje ukiniambia kuwa umefungiwa kisa picha za huko kwenye kupakua?!

Hapo point ya msingi ni Personal Conflict kati ya Basata na Ney full stop hayo ya picha na kupakua ni bla bla tu
 
Ney ni mjanja sana anatumia basata kupata kiki. Pale basata wanapojitai kuwa wameugukia kumbe ndio wanauongezwa popularity. Sasa mimi hata nilikuwa siujui ni ninaanza kuanzia sasa kuusaka niusikie vzur na iyo cover mpaka niione
 
ujinga nkuuufungia wimbo wa chura wakati daily wa2 wanacheza vigodoro
-ujinga ni kuufungia wimbo wa ney wakati wazazi wanatukana mbele ya watoto zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…