BASATA Na TCRA waache Double Standards

BASATA Na TCRA waache Double Standards

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
8,447
Reaction score
19,425
Je, sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(TBC Fm ya zamani).

Naomba tujadili.
 
Nyegezi sio tusi japo kuna kikundi cha watu walitaka kuleta maana yao. Hili ni jina la kata,mtaa na stand maarufu Mwanza. Kuna nyegezi stand na nyegezi kona na watu wameshazoea na kuliona jina la kawaida tu
 
Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi ona vile mambo ya kijinga jinga yanavovuma na kupata umaarufu

Nb; Nasema kama hilo bao la asubuhi la bongo fm linapatikana kihalali halina shida lisiwe tu la usherati.
 
Kwamba maneno ya kiswahili yameisha mpka uite kipindi bao la asb? Mambo mengine yako wazi tuache ushetani.
 
Kwamba maneno ya kiswahili yameisha mpka uite kipindi bao la asb? Mambo mengine yako wazi tuache ushetani.
Ushetani unauwaza wewe kwa maana ndicho kilichokujaa na kila kitu kwako unawaza hasi
Bao la asubuhi lina shida gani
 
Ushetani unauwaza wewe kwa maana ndicho kilichokujaa na kila kitu kwako unawaza hasi
Bao la asubuhi lina shida gani
Mbona walìufungia wimbo wa Kibamia, lilikuwa na shida gani? Au nao wana mawazo ya kishetani?
 
Back
Top Bottom