BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mkuu kuna kipindi cha michezo Bongo Fm kinaanza saa 1-3 asubuhi kinaitwa Bao la asubuhi. Kwangu mimi naona hili jina lina ukakasi kama yalivokuwa Kibamia na NYEGEziWasikilizaji redio ni wachache hebu tusimulie kidogo
Kumbe michezo, nikajua kinaongelea mambo ya chumbaniMkuu kuna kipindi cha michezo Bongo Fm kinaanza saa 1-3 asubuhi kinaitwa Bao la asubuhi. Kwangu mimi naona hili jina lina ukakasi kama yalivokuwa Kibamia na NYEGEzi
Kwamba maneno ya kiswahili yameisha mpka uite kipindi bao la asb? Mambo mengine yako wazi tuache ushetani.Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi ona vile mambo ya kijinga jinga yanavovuma na kupata umaarufu
Nb; Nasema kama hilo bao la asubuhi la bongo fm linapatikana kihalali halina shida lisiwe tu la usherati.
Ushetani unauwaza wewe kwa maana ndicho kilichokujaa na kila kitu kwako unawaza hasiKwamba maneno ya kiswahili yameisha mpka uite kipindi bao la asb? Mambo mengine yako wazi tuache ushetani.
Mbona walìufungia wimbo wa Kibamia, lilikuwa na shida gani? Au nao wana mawazo ya kishetani?Ushetani unauwaza wewe kwa maana ndicho kilichokujaa na kila kitu kwako unawaza hasi
Bao la asubuhi lina shida gani