BASATA, TCRA kwanini hamjafungia nyimbo za WEUSI?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wimbo kama naliamsha dude na unanifanya nicome kwanini hazijafungiwa?

Weusi wamewapa nini mpaka hamjafungia nyimbo hizo? katika nyimbo ambazo zimefungiwa kuna nyimbo zimefungiwa na hazina maudhui mabovu kama nyimbo ya Naliamsha dude na unanifanya nicome za Weusi.

Kuna walakini
 
MKUU UNAONA MBALI SANA.HAKUNA WATU WANAIMBA MATUSI KAMA WEUSI.
Nikki na bunduki ila sio siraha.Ina kichwa kisicho na akili na...,ina kichwa kisicho na utosi naa...,
HAPO JUU NI BAADHI YA MISTARI KWENYE WIMBO WA NALIAMSHA DUDE.
 
Mkuu nazani shonza yuko umu tunaomba aje kujibu ili swali lako. Angalizo shonza ukoja kujibu tafadhali rekebisha zile r na l zako il tuweze kuelewana umu ndani
 
Mkuu nazani shonza yuko umu tunaomba aje kujibu ili swali lako. Angalizo shonza ukoja kujibu tafadhali rekebisha zile r na l zako il tuweze kuelewana umu ndani

Hapo na wewe unajiona umejibuuuuuu..
Na hata kutamani unayemyongelea awe yeye..
 
MKUU UNAONA MBALI SANA.HAKUNA WATU WANAIMBA MATUSI KAMA WEUSI.
Nikki na bunduki ila sio siraha.Ina kichwa kisicho na akili na...,ina kichwa kisicho na utosi naa...,
HAPO JUU NI BAADHI YA MISTARI KWENYE WIMBO WA NALIAMSHA DUDE.
Ulishawahi kusikia watoto wanaimba na kudhalilisha watu na hizo nyimbo za weusi?
Mimi nina ushahidi kuona mama mmoja mwenye makalio makubwa akipita na wanae halafu watoto wanaanza kuita churaa anaruka ruka!Watoto tena wa kiume ilikuwa aibu sana na mmoja wao aliamua kurudi ili amsulubu mmoja wa watoto hao ila baadhi ya watu wakasihi hekma itumike.
Ila watu walilaani sana wimbo huo wa chura.
 
Hapo na wewe unajiona umejibuuuuuu..
Na hata kutamani unayemyongelea awe yeye..
Shonza karibu mi nilijua uko mbali kumbe uko uko online aya jibu maswali ya kijana apo juu
 
Kuna Bombadier ya Dully (et inapenya kote kote) na ile ya dogo janja amasema kuwa anapewaga mambo ya uani.

Hayo mambo ya uani kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanayo, kwahiyo hilo sio tatizo.
 
WEUSI NYIMBO ZAO NYINGI MATUSI TUPU ,UNANIFANYE NICOME NICOME ETI UNANIFANYE NIJE??
 
Tatizo weusi wanaimba matusi kwa kutumia akili. Yani kiasi kwamba unashindwa kupata tafsiri moja kwa mstari fulani.

Hivyo unaweza kusema kwamba mstari fulani umemaanisha kitu fulani ila yeye akakuambia hakumaanisha hivyo na akakupa maana ya tofauti ya yenye mantiki.


Hivyo nawashauri wabana pua wote mnapotaka kuandika nyimbo zenu za kubana pua muwasiliane na weusi ili waweze kuwasaidia katika kutengeneza hizo nyimbo zenu
 
Maadam tumeshampata ROMA hayo mengine yenu.
Hao weusi malyamungu hajatuambia.
 
Sanaa bila ubunifu ni ujinga, wizara husika kama inavyopambana kuzuia kazi za wasanii zenye maudhui hasi vilevile iwasaidie kuwainua wasanii na kuzilinda haki zao period
 
Unanifanya ni cum, unanifanya nije, na wao wanaimba lyrics ni za kwako .CUM (come) hahahaaaa
 
Hayo mambo ya uani kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanayo, kwahiyo hilo sio tatizo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Unanifanya ni cum, unanifanya nije, na wao wanaimba lyrics ni za kwako .CUM (come) hahahaaaa
Umenikumbusha kwenye american pie 1 or 2, wakati binti yupo ndani na jamaa yake, baba yake anataka kugonga mlango binti akasema "I'm cumming" baba yake akaacha kugonga mlango kwa kujua kuwa bintie amejua kuwa anaitwa hivyo anakuja.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hahahaaaa na we umenikumbusha movie moja sijui inaitwa let it shine jamaa anagombana na mwenzake kwenye mistari akamwambia I am vegetarian, I need no beef, lakini akimaanisha hapendi ugomvi
 
Mie nina wasiwasi huyu Naibu waziri atakuwa na ukaribu sana na kina Bashite na Le mutuz!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…