Mpare wa Mtwara
Member
- Jan 7, 2018
- 52
- 63
Za muda huu wanajamvi, najua mko poa na kwa wengine wenye mushikhir na miili yao MUNGU awaponye.
Kama heading inavyosema, najua kuna wahusika mko humu jamvini, BASI HUU UZI NI WA KWENU.
Nianze na swala la ufungiaji wa wasanii pamoja na kazi zao. Ni sawa na halina ubishi kuwa kuna baadhi ya wasanii wetu wanateleza kidogo katika nyimbo,filamu zao,kwa kuimba au kuonesha vitu visivyo na maadili ya nchi yetu(PUMBA LAND) ambavyo vinawapelekea kufungiwa kazi zao pamoja na kufungiwa wao wenyewe, ilo sawa LAKINI kuna upande wa pili wa maslahi ya wasanii haohao, inaonekana nyie BASATA na wengine niliowataja mko makini sana kwenye issue ya kuangalia maadili tu katika kazi zao na kwenye upande wa maslahi hamuangalii.
Mpaka napost uzi huu najua kuna kazi nyingi za wasanii ambazo ZIMEIBIWA, ZIMETOLEWA BILA IDHINI YAO(leaked) na KUTOA COPY KWA KAZI ZA WASANII alafu wao hawapati chochote hivi kweli BASATA na WIZARA husika mmeshindwa kusimamia hili na kuona bora tumfungie msanii pamoja na kazi yake wakati kuna kazi zingine anaibiwa na NINYI NDIO WATU PEKEE WAKUWATATULIA MATATIZO YAO SIO KUWAFUNGIA TU.
Lingine ni swala la kukariri wasanii hususani wasanii wakubwa k.v NEY WA MITEGO, DIAMOND, ROMA n.k kuna kazi nyingi zinatoka ambazo hazina maadili tena afadhali hawa wakubwa wanatumiaga misamiati ila kuna kazi zingne znatoka za hawa underground n matusi tupu ila wanaachwa tu.ANGALIENI NA HAWA WA CHUNI SIO WAKUBWA TU.
Kwa BONGO MOVIE hv nyie BASATA pamoja na WIZARA husika hivi nini mnategemea kutoka kwa hawa BONGO MOVIE ikiwa mnaacha kazi zao nyingi zinaibiwa na zingine kutolewa copy mtaani alaf wao wanapata kitu ambacho hawakutegemea HIVI MNADHANI HUYU MSANII HATATOA MOVIE YENYE UBORA WANAOUTAKA WATANZANIA BILA YA KUWA NA FEDHA ZA KUTOSHA na hizo fedha anategemea kutoka kwa kazi zake anazoibiwa alafu BASATA mmekaa kazi kufungia tu HAMUONI HAYA upande wa pili.
Mwisho kwa nyie wasanii wenyewe kuna msemo unasema "UKIONA MWENZIO KANYOLEWA, ZAKO TIA MAJI" unakuta msanii kafungiwa kazi yake kwa kuwa haina maadili alafu linatoka lisanii hko na yy anatoa kazi yenye mitusi, embu badilikeni na nyie tutachoka kuwatetea.
NEY WA MITEGO katoa nyimbo inaitwa KAA MBALI NAO kuna maneno kayatumia humo kwenye hiyo nyimbo "WANAUME TUMEUMBWA MATESO KUANGAIKA" haya maneno ni yapo ktk nymbo inayomilikiwa na MSONDO NGOMA.
Kesho tutawaona Msondo ngoma mahakani wanaenda kudai mamilioni yao.
Hii ndio TANZANIA(PUMBA LAND)
POOR BASATA