Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida.
Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele cha BEST CHAWA OF THE YEAR.
Yaani wakati mataifa mengine wana tuzo za mathematicians, astronomers, best engineers, best entreprenuers, Tanzania serikali ina-fund mambo ya Uchawa?
Na Mwijaku ukimuangalia hapo chini anasema kabisa yupo "proud" kuasisi Uchawa.
Kama Taifa tumefikaje at this point where the government inafund uchawa?
CCM mnatupeleka wapi?
Hongera sana Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable juhudi zenu zimeonekana