Machawa wengi ni wale waliozaliwa kwenye familia masikini zinazoishi kwa mlo mmoja kwa siku .. mtu aliyekulia kwenye nafuu ya maisha hawezi kujikomba'lize kwa mtu kisa apate chochote...
Hawa ccm wangedhibitiwa mapema kabla hawajaangamiza hiki kizazi, kwakweli dunia haina huruma yani shetani kaamua kutupatia jaribu katutelekezea ndugu zake hawa ccm alafu katokomea kusiko julikana.
Orodha ni ndefu, kuna mwijaku, steve nyerere, maulidi kitenge, kuna mmoja clouds anajiita big chawa, kuna chawa wa humu wanajulikana kwa undavandava wao