BASATA waufungie wimbo wa Albert Mangwea


Hv ww umeona hilo tu??.....hujaona manyimbo yenu ya singeli sjui majitu yacheza uchi yajitikisa makalio
 
Jana nilikuwa namsikiliza siku nzima redman na method man,(hip hop-USA). I SLAP DA SHIT OUCHAT-REDMAN,

mashairi"can i borrow some money.?'-slap/
can i get some weed,..?-slap/
can i drive your car,..?-slap/
can you pay me rent..?-slap/
can you buy me a drink .?slap/
can i wear your gold.?-slap/...

Ukifatilia vizuri historia ya hiphop haina tofauti na mifumo,taratibu ,kanuni ,taasisi na tamaduni ,dini ,n.k ambazo kwa historia ndefu ya "mwanadamu"imemchukulia mwanamke/jinsia ke kama kiumbe dhaifu,kiumbe cha burudani,daraja la pili,kiumbe aliye na uwezo duni-jambo ambalo si sahihi sana.

Historia ya mwanadamu jinsia ke kapata taabu sana karibia jamii nyingi sana(si zote)...hivyo hip hop si exception,nyimbo nyingi za hiphop (si zote)zinamashairi ya mwanamke daraja la pili,mwanamke kiumbe dhaifu na matusi ya rejareja!

Ngwair kama walivyo wengi wasanii wa hiphop pia hakuweza kuruka kiunzi hiki,mashairi yake mengi katika nyimbo zake yaliangukia kwa mwanamke burudani daraja la pili,kiburudisho::

BTW Maadili ni nini..?
maadili ya watanzania ni yapi?
Yamejengwa katika misingi ipi?
Maadili hubadiliki kulingana na wakati na mazingira..??

Ngwair "Hivi we binti unaitwa nani,Naitwa BAHATI/
nilishawahi kukuona wapi?-Acha longolngo we sema unaSHILINGI NGAPI?/
 
Ila hizi za kalia chupa, kwa mpalange, inama nisafishe mtaro etc, zilikua zinawafurahisha sana au sio?
kuna na hizi..ukimpa macho matatu sisi anatupa jicho moja, we si unakijambio sijui tumia hilo kalio,utaliwa jicho mpaka uote kengeza na zingine za namna hiyo mtoa mada hajaziona ameona huo wa ngwea unao elimisha kabisa..... nachukia nyimbo za namna hii ni kinyume kabisa na maadili zinahamasisha hizi ngono za kinyume na maumbile zionekane ni kitu cha kawaida

zina ukakasi zinatia kinyaa alafu huku mitaani unakuta hadi vitoto vya chekechea vinaimba
 
Wewe utakuwa wale wa Inama nipake mate Rungu liteleze!!!
 
Hicho kipande ambacho kwanza huo mziki kupigwa ni nadra na MATANGAZO YA PEDI Kila siku!!?? Kipi kinamdhalilisha mwanamke!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…