Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wamedai wamesikia bifu hilo ila sio rasmi ila kama wakipata taarifa rasmi itabidi wakae na mameneja wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa alivyotoka kulea watoto kukuta game limechange akaanza ooh King nimerudi kufuta kiti, Mara ooh Diamond alifuta mashairi kwenye lala salama,kiuhalisia Kiba ndiyo aliyechochea bifu ndo mashabiki wakakoleza.Na linamnufaisha kweli watu tu wabishi Kiba kweli mkongwe Lakini Dai kaleta mapinduzi kwenye bongo flevaKiba hawezi kukubali hilo jambo litokee,labda kama kaamua kuacha muziki.
Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****oWaliokua wanatafuta evidence kua BASATA wamekosa kazi haya hii hapa.
Baraza la Sanaa kwa nini inasimamiwa na hawa wazee? Kazi ya vijana hii
Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****o
Hawa wazee hata mziki ulivo hawajui. Tangu lini baraza la mziki likapatanisha wasanii. Beef inaleta hype. Media zote zinaongelea daimond na kiba. Hata humu jf muda wote ni thread za daimond na kiba. Hii inaleta ushindani na kukuza sanaa yetu. Haujalishi kama beef ya kweli au uongo. Hawa wazee hakuna wanachojua kuhusu sanaa. Wasanii wa wenzetu kabla hawatoa album watafuta beef kwanza ili album zao ziuze copy nyingi.(drake na meek mill, au kanye na wiz khalifa) hapa kwetu eti wanataka kupatanisha.Waliokua wanatafuta evidence kua BASATA wamekosa kazi haya hii hapa.
Baraza la Sanaa kwa nini inasimamiwa na hawa wazee? Kazi ya vijana hii
Aliemfanya kurudi kwenye mziki ni nani??fuatilia mziki kaka diamond ndie alianzisha chokochoko...tchaoKweli kabisa alivyotoka kulea watoto kukuta game limechange akaanza ooh King nimerudi kufuta kiti, Mara ooh Diamond alifuta mashairi kwenye lala salama,kiuhalisia Kiba ndiyo aliyechochea bifu ndo mashabiki wakakoleza.Na linamnufaisha kweli watu tu wabishi Kiba kweli mkongwe Lakini Dai kaleta mapinduzi kwenye bongo fleva