BASATA wazungumzia bifu la Ali Kiba na Diamond

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Wamedai wamesikia bifu hilo ila sio rasmi ila kama wakipata taarifa rasmi itabidi wakae na mameneja wao
 
 

Attachments

  • 1478965931176.jpg
    47.4 KB · Views: 11
Kiba hawezi kukubali hilo jambo litokee,labda kama kaamua kuacha muziki.
Kweli kabisa alivyotoka kulea watoto kukuta game limechange akaanza ooh King nimerudi kufuta kiti, Mara ooh Diamond alifuta mashairi kwenye lala salama,kiuhalisia Kiba ndiyo aliyechochea bifu ndo mashabiki wakakoleza.Na linamnufaisha kweli watu tu wabishi Kiba kweli mkongwe Lakini Dai kaleta mapinduzi kwenye bongo fleva
 
Binladen,hana mda wa kujenga bifu ypo busy anapga kaz n kufany mamb makubwa.
a.k.a
[HASHTAG]#simba[/HASHTAG]
 
Waliokua wanatafuta evidence kua BASATA wamekosa kazi haya hii hapa.
Baraza la Sanaa kwa nini inasimamiwa na hawa wazee? Kazi ya vijana hii
 
Sasa hawa watu wanaojiita sijui Nokia, Dunya hapa Jf watakula wapi jamani.
Mi nawaomba basata wasiingilie maslahi ya watu.
 
Waliokua wanatafuta evidence kua BASATA wamekosa kazi haya hii hapa.
Baraza la Sanaa kwa nini inasimamiwa na hawa wazee? Kazi ya vijana hii
Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****o
 
Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****o

Kupatanisha nini? kama wasanii wanachukiana wao linawahusu nini, kwani umeambiwa wamepigana? Sasa kwa taarifa yako jamaa hawachukiani wala hawana muda kufuatiliana, ni team za kijinga tu online ambazo hazina faida mwisho wa siku, kama baraza hawatakiwi wawe na muda na mambo ya kijinga kama haya, wao wangekaa wanakomaa kusaidia sanaa ikue sio kuirudisha nyuma na ban zao daily.

Na hilo neno "matope" au "mata--o" hakukua na haja ya kuyatumia, jifunze kuongea na watu, ukiongea vizuri utajibiwa tu.
 
Waliokua wanatafuta evidence kua BASATA wamekosa kazi haya hii hapa.
Baraza la Sanaa kwa nini inasimamiwa na hawa wazee? Kazi ya vijana hii
Hawa wazee hata mziki ulivo hawajui. Tangu lini baraza la mziki likapatanisha wasanii. Beef inaleta hype. Media zote zinaongelea daimond na kiba. Hata humu jf muda wote ni thread za daimond na kiba. Hii inaleta ushindani na kukuza sanaa yetu. Haujalishi kama beef ya kweli au uongo. Hawa wazee hakuna wanachojua kuhusu sanaa. Wasanii wa wenzetu kabla hawatoa album watafuta beef kwanza ili album zao ziuze copy nyingi.(drake na meek mill, au kanye na wiz khalifa) hapa kwetu eti wanataka kupatanisha.
 
Mnataka kumlaza kibakuli njaa waache bifu na mond kiki apatie wapi thubutuuu bila mond kiba atafutika kwenye ramani ya muziki kama zamani msafiria kiki alishushwa mtamlaza njaa
 
Hawa BASATA wameanza lini kutatua migogoro ya wasanii?
 
Aliemfanya kurudi kwenye mziki ni nani??fuatilia mziki kaka diamond ndie alianzisha chokochoko...tchao
 
Kama BASATA wanapata time ya kuzungumza huu upuu.zi bhass JPM futa hilo baraza fasta huenda kazi za msingi hawana hata wajibu wao hawaujui
 
Wakatatutie bifu la Lipumba na CUF kwanza, au professa hajajisajiri BASATA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…