BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

umechukia huyu kenge kufungiwa ehh?
pia baraza limesisitiza kuwa halitasita kuichukulia hatua kampuni yoyote itakayofanya kazi ya sanaa na huyo punguani wenu.
Kitu Cha kwanza kabisa walitakiwa wachunguze madai ya dudu baya je Yana ukweli? baada ya kubaini ndio wachukue hatua.
 
Kama vipi jamaa ahamie Kenya tu Bongo hawamuelewi haters kila kona.
Eti hata msanii wa muziki lazima ajisajili serikalini very shame! Only in TZ
 
Kama vipi jamaa ahamie Kenya tu Bongo hawamuelewi haters kila kona.
Eti hata msanii wa muziki lazima ajisajili serikalini very shame! Only in TZ
hata huko kenya ataanza kutukana wasanii na wadau wa hapo Kenya.

huyu akachunge ng'ombe full stop.
 
Dudubaya alisha kwisha kimziki, na alibakiza jina ambalo pia lilikuwa linaelekea kuzimu.
Kwahivyo Dudu hakukataa wito wa basata kwa bahati mbaya, bali alikuwa anajuwa wazi kwamba kukataa wito kungemfanya afungiwe na basata ili apate lisingizio cha kusema kwamba amemalizwa na hatuwa ya kufungiwa na basata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wetu hawana dispute resolution skills, wamekalia mabavu tu na kujimwambafy. Obviously kama umeona unaonewa na kwakua vyombo vyetu havitoagi haki bali vinaangali ni namna gani vitapata mkate wao wa kila siku kwa jusifu na kuabudu ndio maana hakuona umuhimu wa kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wakiambiwanwatunge hata shahiri dogo lenye kina kimoja na mizani moja wataweza?
Wao hawaimbi wala hawatungu,kwanini wafungie watu wakati wenyewe hawajui chochote?
 
Kuna watu hapo wanaomsupport Dudubaya wameumia sana hao huwa wanamsupport kwa likes kule instagram kwa kutukana lakini kwa kazi zake huwa hawamsupport hakuna siku wamekuja kumsifia au kumuonya kwa kazi zake anazofanya ila kutokana anaweza kutukana basi media nyingine ambao ni wapinzan basi tunaona ameonewa sana kutokana hatutasikia tena matusi yake akitukana watu sio hatutasikia kazi zake zikichezwa kwenye media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…