BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

Mkuu
Beira Boy,
Umeongea point sababu kwa hii system mbovu ya mziki wa bongo fleva,miaka ijayo itazalisha akina dudubaya wengi.
Mkuu basata ni wapumbafu sana ambao hawajielewi hata kidogo

Mimi sijawahi sikia basata wamefanya kazi nyingine zaid ya kufungia wasanii

Wao ni kufungia wasanii tu ndo kazi walio bakisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm namsubiria NAY WA MITEGO na ROMA watoe wimbo mpya unaohusu tukio hili la dudu na basata yake.
Nakaa benchi nawasubiria makamanda wangu wajilipue studio watupe tunachopenda kusikia watu wao😀😛
 
hata huko kenya ataanza kutukana wasanii na wadau wa hapo Kenya.

huyu akachunge ng'ombe full stop.
Kwahio haudhani kama anaweza kuwapanda hao ng'ombe maana kushathibitisha kama hayuko fit mentally
 
Dudu Baya hana cha kupoteza kwasababu Muziki wenyewe alishamaliza zamani sana.
 
Dudu hadi anafungiwa hakuwa tena mwanamziki... alikua mtukanaji mwenye matusi hadi kero
 
Mtu mwenyewe anaitwa dudu baya .
La nini sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dudu anachokitafuta bado hajakipata.akikipata tutajua
 
Kama hilo dudu ni baya lifungiwe tu.
 
Sasa ulitaka apewe haki ipi wkt ameitwa na Basata akagoma kwenda?
dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…