Taifa lolote lisilo na maadili/utamaduni wake ni taifa mufu.... lazima tutunze identity yetu
Mfano mtu wa USA unajichoreshaje sasa, Cameroon, Kenya, Ug! They dont give a https://jamii.app/JFUserGuide, kama wanaona haifai nao wataifunguiKwa hiyo huko kwengine ndiko tujiaibishe na kujichoresha tukoje wabongo?
Hatukatai, utamaduni wetu sio applicable Kongo,au Vietnam , sio relevant kabisa kila nchi na utamaduni wake, Washington DC ni ruksa kuvuta bangi lakin apa bongo ni shida, however mmarekani akija kuvuta bangi hadharani hapa kwetu tunamkamata...kila nchi na utaratibu wake, wewe kwako unaona hakifai kwa mwenzako kina faa, istoshe hao watu wa nje ndio wanampa show nyingi kwanini asiende kwa their favor???? Kama kwetu umekatazwa poa tu ila kwa mataifa mengine ni nyimbo halalaiTaifa lolote lisilo na maadili/utamaduni wake ni taifa mufu.... lazima tutunze identity yetu
Kwamfano mimi natokea Sengerema inamaana nikiitwa SENGE BOY nitakuwa nimetukanwa??[/QUOTE
hapana hapo hujatukanwa
Kuna mtu anaitwa Kisenge, Mboro, Mbogoro
Wasanii wahusika nao wamechukuliwa hatua gani kali za kisheria? Maadili kwanza...