BASATA yawaonya wasanii wa Tanzania kutokana na vijembe wanavyotupiana

Basata hawana kazi za kufanya mpaka wanaingilia stori za Watu vijiweni. Huu ni umbea
 
JF inasaidia sana.
Tunashukuru Basata kwa kusikia maoni yetu.
 
Hawa jamaa wana mambo ya ovyo mno. Hii ni taasisi isiyo na meno yoyote, licha ya kupata nguvu kutoka serikalini bado wanaegamia sehemu moja na kugeuka kuwa watu wa ambush kwenye kazi za sanaa za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…