BASATA yawataka wabunifu, wapiga picha na graphics designers kuwa na kibali

Sa100 kamatia hapohapo. Najua kule nyumbani Kizimkazi ulipotokea haya mambo hayawezi kuwepo maana unapenda watu wako wa kule, hawa wajinga wa bara endelea kushikilia hapohapo mpaka wajambe
 
October njia nyeupe Kwa mama yetu mpendwa.
Kazi yetu Sisi ni kutick tu
 
Nani kasahaurika hapo mnichek dm.. tumwongoze mamake...
 
Possible ni aliuliza chatgpt iseme vitu vinavyoendana na sanaa chatgpt akashusha hadi muoka keki na fundi sofa
Kazi nyingi watu wanafanya huku wakipata burudani ndo mana basata wameamua kuingilia kati wapate maokoto 😂 muoka keki anaoka keki huku anakuangalia Top 10 🔥
 
Mambo ni mazuri na Oktoba tunatik 😂
 
Na wakishajisajili waende kumtikia mama😀,
Ooh! sisi mafundi welding na useremala siasa hazituhusu,haya mmefikiwa sasa na mkatiki kwa mama yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…