Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo kwa mda usiojulikana
Tena ni upuuzi usio na mipaka ndio maana mimi bana hili soka la kariakoo sina nalo mpangoUpuuzi mtupu? Kwahiyo kipimo cha ubora wa kocha ni kufungwa au kufunga Yanga?
Klabu ya simba leo imemfuta kibarua kocha wao Moses Basena baada ya kufungwa na Yanga bao 1 - 0 katika mchezo wa ligi kuu.
Aidha pia Emanuel Okwi na Godfrey Kaburu wamesimamishwa na uongozi huo kwa mda usiojulikana
Upuuzi mtupu? Kwahiyo kipimo cha ubora wa kocha ni kufungwa au kufunga Yanga?
Huyo atakae kuja akifungwa na Coastal Union je?
Mwenyekiti wao Rage ndo anavyo pima wakiifunga Yanga kocha hajachuja
Tatizo Rage anachanganya siasa na mpira, Basena ana makosa gani katika mechi ya jumamosi? Ikiwa wachezaji wenyewe ndio walikosa magoli ya wazi na mabeki wakatoa boko kwa Mwape akawafunga....
Hii inahusiana vipi na jukwaa la siasa? Mods embu iondoeni hapa..
Mbona Man6 hawakumfuta SAF walipozabwa na Manshite?