Suala upate Dereva mwaminifu ambaye atakuwa mtunzaji na atakayedhibiti kiasi cha mzigo unaopakiwa, mara nyingi huo zinasumbua kwenye shock up Pia Mi ni Dereva nahitaji , hesabu nitakuwa nakurejeshea 120,000/= kwa wiki, tuwasiliane kupitia 0714306015 au unawez kun PM.Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya.
2.Na kwa siku mapato yake yako vipi??
3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini mtanipa mawazo na hoja
Natanguliza shukran zangu za dhat.......
mkuu ukitaka kikulipe tafuta dereva amabye ni 45 years mwenye mke na watoto ambaye anajali familia yake.ukimpata huyu automatic utapata hela ila ukipata hawa wa 25 years then anamedmu 3 mkuu umeumiaHabarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya.
2.Na kwa siku mapato yake yako vipi??
3.Na hasara au faida yake. Kwa sababu bado cna uzoefu na biashara hii. Naamini mtanipa mawazo na hoja
Natanguliza shukran zangu za dhat.......
milioni 12 unapata bodaboda 6. kila moja inaleta 7,000 kwa siku ni 42,000 kwa wiki 252,000. pia unaondoa kitu wanaita single point of failure.1.Bei yake show room Tsh 12milion kwa sasa
2.Hesabu kwa siku Tsh 20,000(wiki 120,000)
3.Changamoto a) madereva vichwa ngumu, wataleta hesabu pungufu na visingizio kibao
b) spea zake ni ghali sana, ikiharibika matengenzo yake ni laki na kuendelea
c)vinabeba mwisho kg 250-350 madereva wanabebesha mpaka tani 3
4.Faida a) Utakuwa na uwezo wa kupata fedha na kipato chake
b) Hata injini ikifa, bei yake ni rahisi inaanzia mil 1,200,000 n=ili mradi body iwe bado nzuri
we mjamaa una akili sana nimelipenda hili wazomilioni 12 unapata bodaboda 6. kila moja inaleta 7,000 kwa siku ni 42,000 kwa wiki 252,000. pia unaondoa kitu wanaita single point of failure.