The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisa
Kujineemesha huko CCM ni utamaduni wao.Style ya Bashe ni Kama makonda tu.
Kelele Nyingi Impacts Hakuna, Japo wao wanajineemesha
Rostam alitumia ifluemce yake kwa Samia ndio Bashe akapata ubunge na baadae uwaziri!! Kama Waziri alitumiwa na Rostam kuiibia nchi kupitia benki ya wakulima [ Tanzania Agricultural Development bank]. Kwa taarifa zaidi ukifanya utafiti kwenye benki hiyo utaona sehemu gani na kwanani mikopo toka kwenye benki hiyo ilikokwenda na watu na makampuni ambayo mpaka sasa hawarejesha mikopo! Huo unaosema ubunifu na kelele nyingi zilikuwa mbinu za kifidsdi tu!! Huyu ni boi wa Rostama miaka nenda rudi!Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Kigwangala ni kasongo /ngiri kwenye maamuzi,Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisa
Alitamani sana urais, akawa tishio kwa Rizmoja. Mshauri mkuu akatoa amri aondolewe haraka!Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza