Bashe alimchoma Mpina mbele ya Rais huku nyumba uhalifu ulifichwa?

Wote wanaigiza sinema moja. Mmoja anajifanya mtetezi wa wanyonge, mwingine mtetezi wa serikali, lakini behind the scenes wote wanacheza ngoma moja.
 
Wote wabongo na matapeli. Saa zingine namuona mpina kaingia upinzani kufanya destruction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…